Tiketi kwenye daladala


Namba 9 hapo kitu tabibu au majinjah trans!
1 Yatima adeki
2 baba ako analo
3 wosia wa baba
4 abiria chunga mzigo wako
5 nauli hairudishwi
 
Yangu imeandikwa keep city clean ngoja nítupe sasa
 
Dah mimi huwa hata siangalii hizo tikiti naziweka kwa makini sana zisipotee nikalipishwa nauli tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…