Tigopesa

dalu

Member
Dec 12, 2011
24
4
wakuu salama...nilipatwa na mshtuko baada ya kwenda kutoa pesa kwa wakala wa tigopesa na kuambiwa salio halitoshi,huku nikiwa nimetumiwa elfu 25.nikahamaki kidogo,uzuri yule dada akaniuliza hiyo pesa umetumiwa au ilikuwa salio kwenye akaunti yangu?nikamjibu nimetumia,akasema naomba nione hiyo sms,akaicheck then naona ananipa hela.nikauliza imewezekana akaniambia ndiyo hyo umetumiwa kutoka mtandao mwingine kwahiyo hiyo sms unatakiwa umuonyeshe wakala.Nikagundua kumbe sikuwa na uelewa juu ya hilo.siku njema
 
co kila linalokukuta uliwasilishe hapa bana.hapa nadhani ishuka kimbilio la fikra mbovu na sio fikra pevu tena jaman.
 
Back
Top Bottom