Tigopesa application ina ukweli wowote?

Sio kweli ukishajiunga unatoa unaweza hata weka line ya mtandao mwingine mimi nilijiunga line nikatoa na natumia halotel au voda lakin bado napata huduma.
Nina mwez wa tatu sasa
Na ukiangalia comment za wengi malalamiko yao ndo hayo. Sasa cjaelewa kwako imekubali vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…