Hamna kitu kwangu dah kutiana presha hv LMAO dah poa tu
Duuh kumbe hivi iyo line yako ulishawahi kutumia katika mawasiliano yani ulishawahi kuweka salio umo na ukaitumia kama line ya kawaida zilivokata muda ule au never used it on 4ne?Kwangu imekubali but speed ni ndogo sana, download speed yake inacheza kwenye 12kbps hainifai hata kidogo
duh wapi uko mwana nje nzkombe za kutosha? Vp spd bdo wanabana au?yah kama ulikua na line ya bure tigo then wakakata now zimerudi, ila kama kipindi kile zilipokata uliendelea kuitumia haitarudi bure,
Tahadhari line za bure tigo internet zinapatikana kwa sh 500 tu so usje ukapigwa changa la macho,
Chief una uhakika na usemacho?Kwahiyo wewe yako uliinunua 1000tshs tu na ikawa inatumia net bure?