Mpaka watangaze?! Hapana bana!!! fight upate tempo pale Infinity. mara nyingi kama sio zote tempo zao zinakuwa ni data entry jobs ambazo inakuwa ku-key tigo customers registration forms. na mara nyingi tigo wanapohitaji wafanyakazi baadi wanachukua toka pale infinity especially kwa aina kama unayotaka!!!