Mwanakili90 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,568 Reaction score 246 Jun 18, 2011 #1 jaman kwa anae jua jinsi ya kuunga tgo siku katka simu anipe msaada kdogo.ili niweze kupitia mambo muhimu humu. Natanguliza shukrani.
jaman kwa anae jua jinsi ya kuunga tgo siku katka simu anipe msaada kdogo.ili niweze kupitia mambo muhimu humu. Natanguliza shukrani.
Mwanakili90 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,568 Reaction score 246 Jun 18, 2011 Thread starter #2 wakubwa msaada jaman
Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 Jun 18, 2011 #3 Tigo siku ya internet? Andik SIKU kwenda 15166 sh.450/= kna ya wiki sh.2500/= na ya mwezi sh.15000/=
Mwanakili90 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,568 Reaction score 246 Jun 18, 2011 Thread starter #4 nashukuru.haina haja wengnd wachangie jaman
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,213 Jun 18, 2011 #5 Mwanakili90 said: nashukuru.haina haja wengnd wachangie jaman Click to expand... ila ukijiunga leo kama ni ile ya siku.....kesho inajiunga yenyewe
Mwanakili90 said: nashukuru.haina haja wengnd wachangie jaman Click to expand... ila ukijiunga leo kama ni ile ya siku.....kesho inajiunga yenyewe
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jun 18, 2011 #6 dah nilianza fikiria kati kati ya mstari :music:
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,436 Reaction score 5,114 Jun 18, 2011 #7 Maria Roza said: dah nilianza fikiria kati kati ya mstari :music: Click to expand... yaani nikilisoma tu jina lako napatwa na mihemko.
Maria Roza said: dah nilianza fikiria kati kati ya mstari :music: Click to expand... yaani nikilisoma tu jina lako napatwa na mihemko.
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jun 18, 2011 #8 Kiranja Mkuu said: yaani nikilisoma tu jina lako napatwa na mihemko. Click to expand... Hata mie nahemka nimetoka kwenye jukwaa langu bas acha tu heheh hehhehe
Kiranja Mkuu said: yaani nikilisoma tu jina lako napatwa na mihemko. Click to expand... Hata mie nahemka nimetoka kwenye jukwaa langu bas acha tu heheh hehhehe
Chimemena JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,376 Reaction score 454 Jun 18, 2011 #9 Hapana jombaa. Kama wataka ufaidi kidogo kuhsu tigo internet do dat. piga *148*01# kisha fuata maelekezo ya kuchagua vifurushi. Kuna cha 450,700,2000, nk. Endelea kutumia tiGO. Express...........!!
Hapana jombaa. Kama wataka ufaidi kidogo kuhsu tigo internet do dat. piga *148*01# kisha fuata maelekezo ya kuchagua vifurushi. Kuna cha 450,700,2000, nk. Endelea kutumia tiGO. Express...........!!