Gasy wa Ukweli
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 397
- 201
Tigo ujinga mtupu. Karibia siku nne sasa huduma yao mbovu. Mawasiliano yanakatika katika kichizi. No data no voice hata kuingiza data au kijua salio haiwezekani. Halafu hawawafidii chochote wateja wao. Sijui tigo wanataka kufa!
Yaani hauwezi amini jana nilikua na Mtu anatumia Tigo.network kwenye simu yake inasoma H+ lkn picha ya whatsapp inachukua dakika Tano picha ku download yaani kutuma message whatsaap hamna kitu kabisa yaani mara mia kutumia EDGE ya Voda
Hawa jamaa hawajielewi nahisi sababu haiwezekani kila mtu alalamikie Tigo
Hawa jamaa niliondokana na utumwa wao kitambo sana maana kila siku wanatuma tu mi mesage ya Kuomba Samahani sijui Kuna matatizo ya Kiufundi sijui wameajiri Vimeo humo kwenye kampuni au ndo ni mtandao wa kufanyia mazoezi hata sielewi kabisa
yani awa jamaa siwaelewi. najuta kuifanya namba yangu ya tigo my default. ingewezekana ningeitupa tu. nanunua kifurushi cha one gb ila mpk muda wa ku expire unafika nimeshindwa kudownload ata mb200. kwenye simy inaonesha 3g au H+ ila hakuna mishale ya incoming au outgoing data. ovyo
Mara mia wangeweka Jf ningeona wanamaan,,Yaani katika site za maana wameona facebook. Ujinga mtupu