TIGO wamevunja ndoa yangu

wewe kweli ni expert kwenye haya mangwasuma
Sasa wewe unafamilia unamruhusu vipi mchepuko awe huru kiasi hicho, piga marufuku SMS, badala yake mtwangine simu, bila kusahau ile staili ya kuongea kimahaba haba baby, baby nyiiingi zisizo na mpangilio, ndo pale anakupigia simu uko na mkeo unaanza kujing'atang'ata, mara unaenda ongelea nje, ni ujinga usio Na kikomo,
 
tigo hawana kosa wakukumbusha tu pongezi ulizotumiwa
 
Taarifa zilizopo mkurugenzi wa Tigo kaokoka na ameapa kuufuta ufuska utokomee
 
pole sana aisee ila tigo hawana makosa ww ndio unamakosa kwann uchepuke wakati umeoa? au haushibi kwa shemeji ?
F2eeeeerrrrt[emoji174] [emoji173] [emoji166]u [emoji178] [emoji164]
Kwani ukifanya kazi lazima upewe pongezi?? Kupenda kwako pongezi na sifa ndo kumekuponza

pole sana aisee ila tigo hawana makosa ww ndio unamakosa kwann uchepuke wakati umeoa? au haushibi kwa shemeji ?

 
bado tu mnakula vitoto vya chuo" angalia usije ukaitiwa mwizi ............. tigo hata mimi kuna sms tokea juz inaingia kila dk.
 
Mimi pia meseji za juzi zinajirudia rudia hadi leo, nimewapigia wananzingua hawa tcra wawashughulikie wanaboa
 
Hizo ndiy arobaini Zako brother.. Mwenyew Kuna sms inarudi rudi tokea ijumaa Sema haikuwa mbaya.
 
Tunamtakia shemeji yetu safari njema afike salama

Sasa umepata muda wa kumhudumia huyo mwanachuo wa mwaka wa pili....shughuli njema mkuu usisahau kinga
 
Mimi uhu ujinga wa kujirudia msg tigo uliwai kunikumba,kiasi kwamba ikawa kero..nkawapigia Huduma kwa Wateja....yaani wanakupa majibu maraisi utazani haukereki na mrudio wa msg...Tigo hovyoo Sana'a..tcra wawatoze faini kubwaa zaid ya ile ya mil 25.
 
Pole sana sheria katika nchi zetu za dunia ya tatu bado zinawalinda kwa kiasi kikubwa wawekezaji ingekuwa ni ulaya ungewashitaki na wangekulipa fidia ya kadhia uliyoipata kwa sasa jitahidi kufanya suluhu na mkeo ikiwa ni pamoja na kwenda ukweni kumuomba radhi mkeo na kuwaangukia wakwe zako, nina hakika watakupa mkeo na kurudi naye nyumbani kwako kuendeleza maisha yenu.
 
Usitumie tigo kwenye mambo yako nyeti tigo wajinga sana ni wahuni kama wahuni wengine.
 
Hahaha m nimepoke ms moja kama mar 40 kulikuwa kuna tatizo tigo.....pole sana hahaha
 
Nenda mahakamani unaweza pata fidia nono

Ukishundwa hapo panda pale juu tcra lalamika utapata muongozo mzuri
 
"...Waambie tigo wakurudishie ndoa yako mkuu"
 
Bora kaondoka maana tumechoka kuwafulia na kuwapikia, pamoja na kujikunja kama kambale kitandani lakini hamridhiki, ndo hivyo hata Mimi nimesepa Leo nimemwacha hapo haamini, nimemshawishi jirani yangu nae amuache mumewe nae apite hivii kasema by week hii atafunga virago kwani nae kachoka mbaya mbovu, kwaheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…