Pole ndugu yng... Hata Mimi Nimepata lawama kwa mtu niliyemtumia msg juzi ananiambia imekuwa ikiendelea kuingia Kila baada ya muda
Sasa wewe unafamilia unamruhusu vipi mchepuko awe huru kiasi hicho, piga marufuku SMS, badala yake mtwangine simu, bila kusahau ile staili ya kuongea kimahaba haba baby, baby nyiiingi zisizo na mpangilio, ndo pale anakupigia simu uko na mkeo unaanza kujing'atang'ata, mara unaenda ongelea nje, ni ujinga usio Na kikomo,wewe kweli ni expert kwenye haya mangwasuma
F2eeeeerrrrtpole sana aisee ila tigo hawana makosa ww ndio unamakosa kwann uchepuke wakati umeoa? au haushibi kwa shemeji ?
u
Kwani ukifanya kazi lazima upewe pongezi?? Kupenda kwako pongezi na sifa ndo kumekuponza
pole sana aisee ila tigo hawana makosa ww ndio unamakosa kwann uchepuke wakati umeoa? au haushibi kwa shemeji ?
Intro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro.
Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa huduma murua na iliyokidhi mahitaji yake (Kimwili, Kiroho na Kiakili), lakini pia kunipa taarifa ya jinsi alivyochoka mapaja hata kufikia kuwaza "UE" ya J'3 ataifanyaje!
Upuuzi wa tigo: Pamoja na kuifuta text hiyo kwenye simu yangu, ila imekuwa ikija kila baada ya dakika 45 ama baada ya masaa mawili (2) hivi. Mpaka jana saa 2 usiku ilijirudia tena na WIFE yaan MKE wangu akafanikiwa kuinasa.
Mke amesepa kwao: Nadhan mpaka muda huu yupo kati ya Chalinze na Morogoro kama basi linatembea vizuri, maana anarudi kwao TUNDUMA>
Nini Nifanye kwa Hawa Tigo: Je , wana JF nina weza kuwashtaki hawa tigo kwa kushindwa kulinda USIRI wangu yaan "PRIVACY" hadi kufikia kuvuruga NDOA Yangu?
Mimi pia meseji za juzi zinajirudia rudia hadi leo, nimewapigia wananzingua hawa tcra wawashughulikie wanaboaIntro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro.
Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa huduma murua na iliyokidhi mahitaji yake (Kimwili, Kiroho na Kiakili), lakini pia kunipa taarifa ya jinsi alivyochoka mapaja hata kufikia kuwaza "UE" ya J'3 ataifanyaje!
Upuuzi wa tigo: Pamoja na kuifuta text hiyo kwenye simu yangu, ila imekuwa ikija kila baada ya dakika 45 ama baada ya masaa mawili (2) hivi. Mpaka jana saa 2 usiku ilijirudia tena na WIFE yaan MKE wangu akafanikiwa kuinasa.
Mke amesepa kwao: Nadhan mpaka muda huu yupo kati ya Chalinze na Morogoro kama basi linatembea vizuri, maana anarudi kwao TUNDUMA>
Nini Nifanye kwa Hawa Tigo: Je , wana JF nina weza kuwashtaki hawa tigo kwa kushindwa kulinda USIRI wangu yaan "PRIVACY" hadi kufikia kuvuruga NDOA Yangu?
Usitumie tigo kwenye mambo yako nyeti tigo wajinga sana ni wahuni kama wahuni wengine.Intro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro.
Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa huduma murua na iliyokidhi mahitaji yake (Kimwili, Kiroho na Kiakili), lakini pia kunipa taarifa ya jinsi alivyochoka mapaja hata kufikia kuwaza "UE" ya J'3 ataifanyaje!
Upuuzi wa tigo: Pamoja na kuifuta text hiyo kwenye simu yangu, ila imekuwa ikija kila baada ya dakika 45 ama baada ya masaa mawili (2) hivi. Mpaka jana saa 2 usiku ilijirudia tena na WIFE yaan MKE wangu akafanikiwa kuinasa.
Mke amesepa kwao: Nadhan mpaka muda huu yupo kati ya Chalinze na Morogoro kama basi linatembea vizuri, maana anarudi kwao TUNDUMA>
Nini Nifanye kwa Hawa Tigo: Je , wana JF nina weza kuwashtaki hawa tigo kwa kushindwa kulinda USIRI wangu yaan "PRIVACY" hadi kufikia kuvuruga NDOA Yangu?
"...Waambie tigo wakurudishie ndoa yako mkuu"Intro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro.
Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa huduma murua na iliyokidhi mahitaji yake (Kimwili, Kiroho na Kiakili), lakini pia kunipa taarifa ya jinsi alivyochoka mapaja hata kufikia kuwaza "UE" ya J'3 ataifanyaje!
Upuuzi wa tigo: Pamoja na kuifuta text hiyo kwenye simu yangu, ila imekuwa ikija kila baada ya dakika 45 ama baada ya masaa mawili (2) hivi. Mpaka jana saa 2 usiku ilijirudia tena na WIFE yaan MKE wangu akafanikiwa kuinasa.
Mke amesepa kwao: Nadhan mpaka muda huu yupo kati ya Chalinze na Morogoro kama basi linatembea vizuri, maana anarudi kwao TUNDUMA>
Nini Nifanye kwa Hawa Tigo: Je , wana JF nina weza kuwashtaki hawa tigo kwa kushindwa kulinda USIRI wangu yaan "PRIVACY" hadi kufikia kuvuruga NDOA Yangu?
Bora kaondoka maana tumechoka kuwafulia na kuwapikia, pamoja na kujikunja kama kambale kitandani lakini hamridhiki, ndo hivyo hata Mimi nimesepa Leo nimemwacha hapo haamini, nimemshawishi jirani yangu nae amuache mumewe nae apite hivii kasema by week hii atafunga virago kwani nae kachoka mbaya mbovu, kwaheriIntro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro.