Tigo waja na wizi mpya kwa wateja

Kama ni kweli basi kwa umuhim wa line,ni bei rahisi
kwa sie tuliopoteza sim na majina yake tunajua umuhim wake.
we mtu unampigia sim unamwambia akurejeshee line tu na laki moja unamlipa ili upate majina bado mtu anasepa.

Wazo zuri sana hili

Wengine tunasave majina kweny gmail hata line ikipotea hatusumbuki kuyapata
 
Habari wakuu ,

Leo nimeenda kurenew line yangu kwenye ofisi za tigo tawi la Mbagala Zakhiem lakini nliyoyakuta ni majanga. Eti kurenew line sasa hivi ni shilingi 5000.

Nilipouliza sababu ya gharama kuwa kubwa wakaniambia hizo line ni special "backup line" yaani hata ukiipoteza unarudishiwa na majina,ofcoz nkaona ni jambo la zuri sana.

Lakini yule muhudumu akaongeza kuna makato ya 250 kila mwezi na hapa ndio nkashtuka maana kila nlipowauliza mantiki ya hayo makato hawakuwa na majibu ya kueleweka.

Nawasilisha wadau na kama Tigo wanaweza toa maelezo itakuwa safi.

Ntakushangaa kama ulikubali maana nina uhakika haukupewa risiti inayosema hiyo ni special line!
 
juzi nimetoka ukerewe, nimekuta watu wanasajili upya line za voda, ati usajili wa zamani hautambuliwi wanasajili upya, na mikwara yao ati napigwa pichwa kwa smartphone zao kisha unaambiwa uweke sahihi, sijui inakuja form gani wanajua wao kisha wanadai buku, unaambiwa kuwa baada ya masaa 48 utapokea meseji, sijapokea mpaka leo na kila nikiweka zile kodi naambiwa inabidi nijisajili upya, siku wakikata nahamia mtandao mwingine, google contact ina contact zote waha siwafati,
 
Mpemba unatisha, yaani unamhonga mwizi laki akurudishie lain. Kesho nitakutafuta nikuingize mjini simu zako zote mbili nipate mtaji wa kugombea udiwani kwa tiketi ya CCM. By the way kuna jinsi ya kusevu namba kwenye smart phone kiasi kwamba hata wakiiba simu au ukasafiri kwenda Japan bila simu yako, ukizitaka unaziita tu na zinakuja bila problem. kama huijui ni pm nikupe best.

Hahahah,asante mkuu.
Aisee Mie situmii Smart phone.
Na hata hiyo yenye access hiyo najua itakuwa ni Original,maana mchina hana dhamana
 
Asante wakuu kwa kutujuza mfumo wa Ku save through google.
Hapa inaweza kunihamasisha nikanunua Smartphone wakuu.

Yaani mie na double line yangu ya enzi za mwalim tuu,maana hata mtu akitaka kuniomba salio au kunipiga mzinga akiona tu sim yangu basi anapunguza dau la mzinga
 
Asante wakuu kwa kutujuza mfumo wa Ku save through google.
Hapa inaweza kunihamasisha nikanunua Smartphone wakuu.

Yaani mie na double line yangu ya enzi za mwalim tuu,maana hata mtu akitaka kuniomba salio au kunipiga mzinga akiona tu sim yangu basi anapunguza dau la mzinga

Sasa yakhe kama ukiibiwa tochi unatoa dau la 100,000 ili urudishiwe line, ukinunua smart phone wakaiiba si ndio utatoa 500,000?
 
Sijawahi kuona "uhodombi " wa kiwango cha degree kama huo waache kutuibia pesa line za simu kurenew line imekuwa ni anasa sasa.
 
Back
Top Bottom