Tigo Unlimited Speed

Vodacom ndiyo kiboko yao! Ile bundle ya tshs.499/= ambayo ilikuwa 75MB sasa ni 40MB. Na nyingine zimepunguzwa mno sijui hawajapata faida bado?
 
TIGO WAME IMPROVE SANA SPEED (NO PROMO)KAMA WANAKUPA 35GB KWA 20,000 NYINGI SANA LABDA UWE UNA DOWNLOAD FILE LA 50GB VODA 20,000 KWA 2GB KWA MWEZI SPEED INASHUKA 30 TO 40kbps TUJE YA USIKU VODA WAJANJA NITE 500 KWA 1GB TIGO SIKU TATU 30GB KWA 1000TU. AIRTEL MTANDAO WA MATAJIRI VIFURUSHI VYAO HOVYO HIYO SWITCH ON WANKUAMBIA FULL MAKAMUZI WAZUSHI WANAKUPA GB 1 IKIISHA SPEED HUWEZI KUFUNGUA HATA GOOGLE MATAPELI SANA NILIINGIA MKENGE NIKAUNGA KWENYE TAB IKAISHA GB 1 SPEED SIKUWEZA HATA KUSTREAM WORLD CUP ZANTEL WAO WAMELALA
 
Vodacom ndiyo kiboko yao! Ile bundle ya tshs.499/= ambayo ilikuwa 75MB sasa ni 40MB. Na nyingine zimepunguzwa mno sijui hawajapata faida bado?

Mimi ndio sijawasoma kabisaaa... sijui wana matarajio gani hawa jamaa.
 
Vodacom ndiyo kiboko yao! Ile bundle ya tshs.499/= ambayo ilikuwa 75MB sasa ni 40MB. Na nyingine zimepunguzwa mno sijui hawajapata faida bado?

Voda ni matepeli wakubwa sana huwa najiunga kifurushi chao cha Cheka cha 649 naona leo wamenipa 15mins baadala ya 17mins na 75MB baadala ya 150MB
Hawa jamaa sijui vipi siwaelewi


Ubovu wa Tigo kuna maeneo ni majanga hamna mfano na mimi kipindi naishi mkoa nilikuja kufanya analysis nikaona watu wengi hapa Dar ni watumiaji wa Tigo kwenye simu zao sasa nafikiri hii pia ime-affect perfomance ya mtandao wao kuna maeneo hatuwezi Fungua hata JF kwa hao Tigo mida ya mchana sana sana kwa maeneo yenye utitiri wa watu....
Ila ikifika fika usiku I see Tigo wako sana

Faida ya kutumia(sio promo plz)
1.Wana speed ambayo inaenda mpaka 42Mbps ambayo wanadai ni 4G lkn ipo Maeneo ya Makumbusho,Masaki,UDSM na UDOM,hivo tulio hayo maeneo na Handsets(simu+ modem) zetu zina support Technolojia ya DC-HSPA+ basi tunawafaidi sana I see waweza check Movie Online bila chembe ya Buffering hata kidogo,tukija kwenye Dow loading movies hapo ndo usiseme kabisa

Smile your are with Tigo
 
 
 
 
Je haisui sui?,me nataka net iliyo fasta

kufanya test ni very simple nunua 1GB yao afu tumia uone pale mwanzo mwanzo inakua je?
Yaani hapo test vitu basic kama kudownload kwa dakika walau tano na pia stream wimbo au video ya HD kwenye youtube ikikupendeza basi fanya SCALE UP kutoka 999tzs uje 20,000/=
 
Natumia airtel,nna gb 100,tigo nna mwaka wa 3 sasa hawana jipya,voda wapuuz
 
 

hiyo ya tigo huduma ya 1000 siku 3, unapakua mafaili au ni ya kubrowse tuu net
 
We unajiachia tu download stream wewe tu umalize gb zako 30 ndan ya siku 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…