Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 345
- 307
Mimi baaada ya kugundua upuuzi wa Tigo nimegoma kuweka salio Mwezi wa tatu sasa naitumia kupokea cm basi watejawote tukiweka msimamo watatia adabu
Weka picha
Weka picha
Mimi baaada ya kugundua upuuzi wa Tigo nimegoma kuweka salio Mwezi wa tatu sasa naitumia kupokea cm basi watejawote tukiweka msimamo watatia adabu
mimi zoezi hilo nilishalianza mwezi wa pili...iko kama landline,kila jioni nikitoka kazini naangalia missed calls tu.Hata mimi nimechukua uamuzi kama wako!!! , kwa zaidi ya miaka kumi nimekua mteja wa Tigo, wizi unaofanyika sasa hauvumiliki , idea yangu ni kutoweka salio kwa mwaka mzima huku nikiwahamishia wanaonipigia kwenye Tigo ,namba mpya nilikohamia .baada ya hapo simu tigo itapoteza fursa ya kipekee kukaa mfukoni mwangu ,nitaacha nyumbani ikisubiri miss calls za wale wanaopiga baada ya miezi!!
Mkuu haya makampuni ni ya wezi. Mimi Vodacom walinitumia ujumbe juzi kuwa namba yako imeshinda zawadi, tuma neno "NDIYO" kupata zawadi yako. Nilipojibu ujumbe huo nikaambiwa nina pointi 50 za kushinda bodaboda, na wakakata hela kwenye account yangu. Huo sio wizi kweli? Wajuzi wa sheria tusaidieni.Poleni sana kwa shida inayowakumba. Ukienda mahakamani mkuu,kwenye systeam wewe utaonekana umejiunga mwenyewe. Me nawashauri wote mnaopatwa na hiyo adha. Kwenye hizo sms mnazopata huwa kuna neno linaanza kwa herufi kubwa. Zingatia hilo neno na andika neno'ondoa acha nafasi,kisha andika hilo neno lenye herufi kubwa na tuma kwa number inayokutumia ujumbe. Mfano km unapata hadithi neno HADITHI litaanza then hadithi yenyewe. Kwa hiyo andika "ONDOA HADITHI" Kisha tuma kwa number inayokutumia ujumbe.
Mimi baaada ya kugundua upuuzi wa Tigo nimegoma kuweka salio Mwezi wa tatu sasa naitumia kupokea cm basi watejawote tukiweka msimamo watatia adabu