tigo police | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tigo police

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by drkhan, Dec 29, 2010.

 1. d

  drkhan New Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikitika kwamba hawa "TIGO" wanao zurura kwenye pikipiki haswa "uhindini" wanantutesa sana...wanatusimamisha na ku uliza maswala na pia wanatu kajeli wahindi...ni kitu kibaya ninawyo fikiria mimi..."Blackmailing tactics". Je kazi yao ni kulinda raia au kuwasumbuwa? haswa wahindi wanatafutwa ana na "TIGO" je hi ni kazi yao?
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tigo police ndo police wa aina gani? hebu fafanua uzuri kwanza
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ungetumia lugha halali ungeongeza uzito wa madai yako, lakini kwa kutumia hilo neno lako la kejeli kwao, inakuwa kama umerivenji!..
  Hata hivyo pole sana, utendaji wa polisi wetu una mambo mengi ya kujadili.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  hata polisi wa lndia wananyanyasa sana na kudharau sana watu weusi waosoma na kuishi lndia.
  Mnastahili kunyanyaswa kwani nyie wahindi mna roho mbaya na hamna utu hata kidogo kwa watu weusi.
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hakuna justification kuwa Mtanazania mwenye asili ya India aonewe kwa sababu polisi wa India wanaonea watu weusi. Hakuna kitu kama hicho.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Brilliant!
  Najua Bujibuji aliongea kiutani zaidi, lakini kauli yake ni ya kiuanaharakati zaidi, na inaweza kuzalisha matendo.
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kauli za kichochezi hata kwenye matani hazitakiwi kutumika. Kuna wengine wanakuja hapa wanachota kila kilivyo na kujiona wanahaki ya kukitenda kwa sababu ni opinion ya watu kadhaa.


   
Loading...