Tigo Playing Me Tricks?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
salam wakuu, mimi ni mtumiaji mzuri tu wa vifurushi vya lightday kwenye simu yangu ambapo unapewa like 2days accessing. sasa wiki mbili zilizopita niliacha kununua iyo bundle lakini nashangaa nimekuwa na access bure for two weeks,downloads (mp3's n videos) but still hawakati kitu. mpaka nimeamua kununua line nyingine ili ni backup mpunga wangu incase wakitaka kuumemena wakute simu ina zero balalnce. so far wakuu kuna mtu amesha experience hii kitu? Ijumaa Al-Karim
 
bahati yako.
 
it happens!!! lakini baada muda watakukata kama kawaida! and ulivyotumia free ndio free!! hata mimi ishawahi kunitokeA!! I GUEC IT IS UR LUCKY CARD!! USE IT TO THE EXTENT BROTHER
 
ts ua lucky brodah nimeshaxpirienc ili wasiweze kulukamata ucpige cm mara kwa mara na vocha ucweke mara kwa mara
 
Back
Top Bottom