Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,508
leo tigo wamechemsha mimi hapa inanionyesha (limited service) shida tupu
Hamia airtel wewe ndugu jamaa na marafiki wote
yaani mawasiliano bora kwa Mtanzania ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Tigo kimeo, voda kimeo, eya tel kimeo, ngoja tujaribishe sasatel
kweli tigo ni masaburini tuhame huko kuna laana.
Hiyo ukifika kibaha tu wakati unaenda kwa yule mwalimu mkuu wa shule ya msingi hupati networkyaani mawasiliano bora kwa Mtanzania ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Tigo kimeo, voda kimeo, eya tel kimeo, ngoja tujaribishe sasatel
Eyateli niko huko siku nyingi, lakini nao wanazingua tu kama Vasco da Gamma the photogenic
Ahahahahaaaaah!!!kweli tigo ni masaburini tuhame huko kuna laana.
Hata mimi imenisumbua sana asubuhi nikafikiri labda problem ni cm, kumbe tulikuwa wengi, nilienda mbinga tigo inapatikana kwa shida sema nilikuwa na line ya Vodacom at least iliniserve otherwise nilikuwa blind.