20GB?? nakumbuka enzi za unlimited, kisha wakaja 30GB.. mteren=mko ulianza hapo..
mkuu
Kang nina miaka sijainigia huku jamviini, nimeumizwa na hili jambo hadi inabidi nije nitafutane na wale wa ma bus nijue kama bado wapo maaana hadi hapa naumia tele
P.S
Chief-Mkwawa bado yupo??