Tigo ni shida

Tigo ni shida

Sio Tigo tu mm juzi TTCL nliacha vocha kuja kuangalia baadae inapungua tu wakat bundle la data,kupiga na sms halijaisha
 
Hanna mkuu,unatoa tu pesa kutoka tigo pesa na inakua mtinda was vocha wanaita muda was maongezi yani no bure kabisa huna haja ya kununua vocha

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo hapo, ukishanunua ikawa kwa mfumo wa kawaida ukichelewa kuunga bundle (kifurushi) wanaimega.

Mimi kilichonishangaza ni kubeba yote bila kuniachia. Na ilikuwa ndani ya muda mfupi.
 
Hao tigo waliniunga kifurushi dabo halafu kilichokuja ni kimoja tu afu wana majibu mbofu mbufu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna kipindi nilitumia app kujiunga bundle la Internet lile la GB 1, wakanipa Unlimited SMS kwa mwezi, nikajua nimekosea, nikarudia mara mbili zote wanafanya hicho kitu.

Baadae jioni wakarekebisha ila ndo nikawa nimeshatumia 6,000/- kununua GB3 za kuisha in 24 hours.

Nilikoma.
 
Ukiacha salio bila kujiunga kifurushi umekwisha
Huyu jamaa mgeni bongo nini? Usikute ni diaspora kashazoea at&t na verizon!

Hii ndio bongo, mitandao yetu haipigiwi nyimbo, ishakata mauno! Na ana bahati sana, angeambiwa alijiunga na huduma ya hadithi asingeamini macho yake. Wameamua kumvungia tu.

Ukiacha balance ina hang italiwa tu maana hamna namna ingine!
 
Huo utaratibu naufahamu mkuu, kilichonishangaza ni vile wamelamba buku yote ndani ya dakika kama 15 hivi.

Na ukiwauliza wanakwambia hata wao hawajui ilikoenda, wanabaki wanakwambia wamelituma tatizo lako kwenye kitengo husika. Kaangalia akasema siko kwenye huduma yoyote ya kukatwa.
 
Hao jamaa ni jau kinoma, wana mambo za ajabu sana. Mi najiungaga halichachi tu kwao kisha nakauka!
 
Tigo mtandao wao unasumbua na wala hawaufanyi marekebisho!
Alafu kwenye menu yao ya tigo pesa sahvi kuna option ya jihudumie
Hapo kuna sehemu ya kurudisha muamala!
Huwa najiuliza mfano umekwenda mahali na ukinunua bidhaa kwa tigo pesa na ukamuhamishia yule muuzaji hela na akakupatia bidhaa,we ukiondoka hapo na bidhaa mbeleni huko si unaweza rudisha muamala kwako tena?
Huwa najiulizaga tu Kama usalama upo!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom