Tigo ni shida

Tigo ni shida

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
16,930
Reaction score
40,585
Tigo nimeshidwa niwaweke kundi gani, walichonifanya nimewaelewa.

Jana usiku nimenunua vocha shs 2,000/-, nikajiunga kifurushi cha kupiga mitandao yote cha shs 1,000/-, nikaongea na simu moja kama dakika 7 hivi nikawa nimemaliza.

Nilivyomaliza nikasema hii 1,000/- iliyobaki niunge kifurushi kingine isije ikaliwa, mara nikaambiwa salio langu halitoshi, nikiangalia salio sioni bundle lingine nililojiunga, make bundle la internet lipo na lile nililojiunga lipo.

Nikawapigia, wakatafuta kama kuna huduma nimejiunga hawakuona kitu, wakaniambia nipige baada ya masaa 3 wanakuwa wamepata taarifa ya mahali imekwenda.

Asubuhi nimepiga nikajibiwa vile vile kwamba hawaoni kitu.

Kumekuwa na malalamiko kwenye hii mitandao ya simu kwamba ukiacha hela wanaifyeka, lakini not to this extent aisee.

Sijui kama TCRA haya malalamiko hayajawafikia, ila kuna kitu inabidi kifanyike, ni too much.
 
Wizi sana hao ukiacha tu salio wanaiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tigo hii nnayoijua ama tigo ule mtandao pendwa kwa wanaume wa dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
halafu kwa hizi huduma mbovumbovu wanataka tuwe na line moja..ili tukome
 
Attachments

  • Screenshot_20180830-112805.jpg
    Screenshot_20180830-112805.jpg
    31.5 KB · Views: 30
Back
Top Bottom