Ni kweli GB 4, lkn 4g yao iko down sanaaaaaaaaaaaSize yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
Wengine tunapunguziwa kila matumizi yakipandaSize yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
Rudi nyumban kumenoga ttcl...ndo kuna unafuu
Hahahaa...... Karibu nyumbani kumenoga!Salam senu kwa mpigo eti.
Ngoja niende kwenye hoja.
Hivi nyie tigo mmekuaje kutubalidikia hivi na ka-msemo kenu ka saizi yako??
Tulizoea unajiunga unapata bando la intanet,dakika na sms lukuki:
Mmekuja na huyu ndugu yenu anaeitwa saizi yako kaja kavuruga utaratibu woote.
Mimi binafsi NIMEWAHAMA.KWAHERINI