Tigo ndio nini mmetuletea??

kabatimpya

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
231
Reaction score
216
Salam senu kwa mpigo eti.
Ngoja niende kwenye hoja.
Hivi nyie tigo mmekuaje kutubalidikia hivi na ka-msemo kenu ka saizi yako??
Tulizoea unajiunga unapata bando la intanet,dakika na sms lukuki:
Mmekuja na huyu ndugu yenu anaeitwa saizi yako kaja kavuruga utaratibu woote.
Mimi binafsi NIMEWAHAMA.KWAHERINI
 
Aisee kwasasa makampuni ya simu ni vululu vululu kwa gharama sijui nini kimetokea
 
Yaan aisee bora ungesema wamepandishana ubora uko juu

Mother fvcks ubora upo chini balaa
 
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
 
Duuh huyu analia mwingine anacheka...lkn tutafika tuu
 
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
Ujinga wa saizi yako, inatofautiana kwa mteja na mteja.
 
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
Hayajakukuta ndio maana
 
Hongera yako mkuu ila mie nimewachoka
 
Rudi nyumbani kumenoga.
Mwana mpotevu akirudi nyumbani huchinjiwa ndama aliyenona.
TTCL corporation
 
Nenda airtel. Internet ya siku 3 ni 2GB kwa 1000 na dakika 120.
5000 dakika 250 ya kuongea mitandao yote wiki nzima
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…