Tigo ndio kimbilio tu

No More Drama

Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
95
Reaction score
19
Wana JF

Kwa hali ilivyo sasa hivi kwa mtazamo wangu tigo ndo kimbilio la wanyonge
Sikujua mwanzo ila baada ya kusikia kuhusu ofa ya Mb 100 za bure
Nikachukua chip yangu na kuiweka kwenye simu nikaanza kufanya survey kwenye vifurushi vyao nilichokikuta
1.ofa ya Gb 30 kwa sh 1000 (usiku kucha)
2.MIA MIA OFA
3.kifurushi cha mwaka mzima kwa sh1000 tu(dk20)
4,Usiku pack hapa ndipo niliposhangaa duh tigo ni shida jaman

****CHANGAMOTO****
Spidi ya internet yao aipo vzur tunaomba waiboreshe jaman tunawategemea


NAWASILISHA
 
kuna iana mbilli za FREE1.free 2.free of charge msijichanganye huwa nachukia ninapoweka vocha kwenye simu yangu na kujiunga kupokea sms hongera umehipatia bure dakika , haaa bureeee mbona baada ya kuweka pesa ndio sms acheni uchizi
 
Tatizo uduma ya access of internet bado ipo chini kwa bahadhi ya mikoa mwanza ikiwa moja ya mikoa ambayo bado tg mtandao upo chini majority of days.
 
Kama mbunge wa ccm vile, unasifia halafu unalalamika, unafikili hawakuwa na akili kutana speed, lengo utumie 5mb
 
Tatizo iko slow mpaka ina bore! afadhali ya voda sh/= 500 unapata 200mb alafu iko fasta mpaka raha!! tigo majanga,,,
 
Voda ndo mwishoo ukiunga kile cha bukuu unadownload hata movie tano kwa siku
 
Hapa pia kuna university offer kwa watu walio maeneo ya karibu na vyuo..
Ila shida yao kubwa ni netwrk mbovu kwa maeneo meng..
 
Hii post yako ungeiweka kule jukwaa la matangazo...
Acha kuchafua nyuzi za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…