Tigo na wizi wa MB

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
256
276
Hili kampuni limezidi kwa wizi wa MB......unaweka GB 2, kwa ajili ya siku 7, zinachukuliqa ndani ya saa 24, na hakuna matumizi yoyote makubwa ya mtandao zaidi ya kutumia watsap na normal surfing.

Ukiwapigia huduma kwa wateja wanasema umetumia na hawakubali kudiclose hayo matumizi wanakutaka uache kazi zako usafiri kwenda duka ama ofisi yao.

.....huu wizi mpaka lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu
Kila mtandao unalalamikiwa kwa wizi wa mb.
Tafuta mmoja tu uvumilie nao
 
Kuna mda nalazimika kushusha mtandao uwe 3g maana nikiweka 4G hazi chukui ata 2hrs zimeisha
 
Hili kampuni limezidi kwa wizi wa MB......unaweka GB 2, kwa ajili ya siku 7, zinachukuliqa ndani ya saa 24, na hakuna matumizi yoyote makubwa ya mtandao zaidi ya kutumia watsap na normal surfing.

Ukiwapigia huduma kwa wateja wanasema umetumia na hawakubali kudiclose hayo matumizi wanakutaka uache kazi zako usafiri kwenda duka ama ofisi yao.

.....huu wizi mpaka lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
hawa jamaa wanakula budle nuksi na balaa Sana me naweka la weki kwa buku 5 kidgo ndo linakaaa
 
aiseeee hili jambo hata mie huwa najiuliza mnoooo
wajinga wezi mnooo hawaaaa
 
Nahama rasmi kunujua bandle zao. Leo mchana wa saa 7 nimenunua tena GB2 , kwa thamani ya 2500 za kutumia siku 7. Ninavyoandika hapa zimeshamalizika. Yaani masaa 4. Na sijafanya kazi yoyote ya kudownload wala kuingia youtube.....ni watsap na browse laini tu kama kusoma google.
Na nilikuwa nafua kwa saa nzima. Ina maana gb2 wamekula ndani ya masaa 2. Napiga simu huduma kwa wateja jamaa kama limelewa linaongea utumbo tu. Sasa nahama TIGO.....sihitaji line yao tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom