Wadau samahani kuiweka hapa, Mods please iondoe after 1 day ili tupate na kama ipo same mada, please iunganisheni..
..Tumekuwa tunawasiliana na ndugu na jamaa zetu waliopo nje ya TZ kwa sms, lkn tunakosa reply ya haraka, kumbe sms tunazotuma kutoka TZ, zinakwenda na minamba isiyojulikana....(CallerID/SMS ID inakuwa tofauti kabisa) na observation zetu inaonekana ni Tatizo specific la Tigo....hivyo mpokeaji wa sms anakuwa hajui sms hizi zinatoka kwa nani...unaweza sijua ikiwa mtu kuna jambo mmelizungumza au mnalifuatilia.
Ktk Kipindi hiki cha EID ndio kabisa, sms wanazo pokea hawazijui za nani....!!
Tunaomba watu Tigo warekebishe hili as soon as possible.