Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,679 Reaction score 5,165 Mar 7, 2023 #1 Hizi tabia za kufanya simu zetu kama mabango ya matangazo yanazidi kunikera kwa siku unaweza kupokea hata text 10 za ofa zao wakati wanajua kuwa wanatukera. Nitakuja kuwashitaki.
Hizi tabia za kufanya simu zetu kama mabango ya matangazo yanazidi kunikera kwa siku unaweza kupokea hata text 10 za ofa zao wakati wanajua kuwa wanatukera. Nitakuja kuwashitaki.
Pipilomomo Senior Member Joined Feb 24, 2023 Posts 113 Reaction score 194 Mar 7, 2023 #2 Kawashitaki tu.