Jaribu kufanya yafuatayo
1.Kwanza washa Data Saver ON ili background apps zote zisifanye kazi unless zifunguliwe
2.Download Data Speedometer app ili uweze kumonitor matumizi yako ya data, Hapa utakua unaona idadi ya MB zote ulizotumia kwa siku husika
3.Punguza matumizi yasio ya lazima mfano kufungua Social Media Hovyo hovyo kufungua picha zisizo na msingi kwenye instagram kunakula sana MB n.k., Kama ni Mfanyabiashara wa Mtandaoni (i.e Unajibu msg za wateja, Kuwatumia picha na maelezo ya bidhaa, Kupost bidhaa ama huduma mtandaoni) Hivi ndivyo vitu muhimu
4. Weka Data Limit kwa Siku utumue MB kadhaa, Ukizidisha matumizi Utapata notification na Data inajizima automatically.
Nadhani ukizingatia haya Utapunguza malalamiko ya Kusema unakatwa ama unaibiwa MB na watu wa mitandao,