DASA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 1,031
- 301
Jamani tiGo hebu jirekebisheni upesi, hii imezidi sasa!!, wife yupo nje ya nchi ananitumia msg then mi nareply kumbe msg zangu hazipati na wakati hela nyie mmeshakata, siku ya kwanza wife alidhani mi nimemchunia mpaka usiku alipoamua kunipigia simu na kuanza kulalamika. Jamani hebu wekeni mambo yenu sawa, halafu na hizo hela mnazokata zinaniuma sana, ni hela nyingi, muwe vilevile na utaratibu wa kurudisha hizo pesa.
Agrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!
Agrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!