mwalidebe
JF-Expert Member
- Mar 27, 2016
- 425
- 248
Jana jioni kuna hela nimetoa kwenye akaunti yangu ya voda nikaituma kwenda tigopesa kwa kupitia namba tano kwenye mpesa wanakipengele cha tuma kwenda mitandao mingine nikatuma kwenda tigopesa kwa bahati mbaya nikakosea namba ya tigopesa ikabidi niwapigie Vodacom kitengo cha mpesa wakasema wapigie tigopesa wauzuie muamala usije ukatolewa.
Sasa toka jana napiga simu customer care namba 100 simu haipokelewi mpaka sasa jamani tigopesa mtusaidie maana toka jana hiyo hela si muhusika anaweza kuitoa?
Tusaidieni wateja wenu tafadhari huduma kwa wateja simu hazipokelewi muamala niliofanya kimakosa nitauzuia vipi?