Hao jamaa nilishawahama kitambo kwa sababu ya mambo yao ya kipuuzi.
Kipindi nasoma nilijifunza kuwa miongoni mwa sifa za mtandao bora ni lazima uwe na reliability. Fuckn Tigo haina sifa hiyo hivyo niliamua kuutia kapuni baada ya kuvumilia upumbavu wao kwa muda mrefu tu.Hapo subiri kuombwa msamaha kwa sms 5, mb1 na dakika 5 za tigo-tigo airtime mkuu.
Asante kwa ujio wa halotel sasa headache kwisha. Napata kile nahitaji muda wote,bundles nzuri,speed ya internet nayo iko poa sana ingawa ni 3g tu ila inakidhi viwango.Ushauri wangu hamia halotel leo.