Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,611
ha ha haha, hatariiiHaha bass mtoto wako ana nyota
Ya ubashite
Ni tigo-pe-saWa kwangu yeye alikua anapenda tangazo moja hv la mtoto la tigo pesaaaa
hata mimi nina mdogo wangu anatambaa akilisikia tu anakuja kwa kutambaa kuja kulishangaa..Aiseehahaaaaa mimi ninawangu yeye akiliona lile LA pindua pindua la voda na lile la joti jazwa ujazwe huwa anapagawa kabisa yaaani
anaanza kucheza ..daahh tech...hizi zatualibia vizazi vyetu
acha kumdekeza mwanao sio kila kitu anachohitaji apewe tu mtashindwa hata kuangalia taarifa ya habari kisa mnataka mumwekee mtoto tangazo la tigoKwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.
Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....
Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...
yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.
Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.
Natanguliza shukrani.
JipakulieKwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.
Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....
Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...
yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.
Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.
Natanguliza shukrani.
Anakaba forward huyo mtangazajiMtoto wa shost yeye kuna news reader mmoja akimuona anamuita daddy na shost ni single mother.
Viwanda vya cherahani 4 tushindwe? Hata kwa mkopo vitajengwa tu.wabongo bana, mnawaza ngono tu - hivi mtaijenga kweli Tanzania ya viwanda?
Huyo anaugua ukichaaEti mi mtoto wangu akimuona tu magufuli anaongea hataki nibadili chanel hadi analia!mwache mafuliii dadii mafuli huyooo
Hapana Mkuu, its kind of carely that most of us we didn't get when we were young, i think these youngsters deserves our attention as parents.acha kumdekeza mwanao sio kila kitu anachohitaji apewe tu mtashindwa hata kuangalia taarifa ya habari kisa mnataka mumwekee mtoto tangazo la tigo
Ha ha haKwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.
Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....
Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...
yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.
Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.
Natanguliza shukrani.
hahaaa yaani weee acha tu ..basi ule mdundo wasingeli ..pindua + huwa unamuacha hoi ..yaani daahh nimegundua kuwa watoto wana akili nyingi mnooo ila kama ukishindwa kumuandaa kwenye mazingira chanya ndio hvyo tena hupoteahata mimi nina mdogo wangu anatambaa akilisikia tu anakuja kwa kutambaa kuja kulishangaa..Aisee
hahaaaaa mimi ninawangu yeye akiliona lile LA pindua pindua la voda na lile la joti jazwa ujazwe huwa anapagawa kabisa yaaani
anaanza kucheza ..daahh tech...hizi zatualibia vizazi vyetu
hahaaaa watoto wanaumbua aiseeeMtoto wa shost yeye kuna news reader mmoja akimuona anamuita daddy na shost ni single mother.