Hwaya
New Member
- Jan 29, 2021
- 2
- 2
Hahahahaha kweli ndugu hata mwenyewe hapa sielewi shida nini kwa tigo yani wanakupa GB moja kwa wiki halafu siku tatu haziishi sijui na wenyewe wameanza wizi wa mtandaoni maana hatuelewiLeo kuna mabadiliko wandugu kwenye upande wa kampuni ya simu ya tigo kiasi nimeanza kuifikiria elfu kwa wiki alafu gb 2 napata then hazifiki ata siku tatu wamefyeka.
Kwasasa kifurushi cha bei ya chini cha internet huko Tigo ni Tsh 3,000 alafu unapata GB 1 kwa wiki wakati awali ilikuwa gb 2. Hapana, ngoja kesho nisake lain ya Halotel tu.