Hichi ambacho wanakifanya tigo ni wiz, Haiwezekana ninunue kifurush cha mwez Tsh 10,000/= Mnanipa 600dk then hapo hapo mnataka nianze kuzitumia kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 12 asubuh 550dk
Hujaelewa ww acha kulalamika umepewa dkk 600 utumie mda wwte na zingine 550 za nyongeza ila zinatika Uck ss kelele za nn km dkk zako 600 Umepata hzo za nyongeza unalillia nn