Tigo mnaboa kukopesha salio 'invisible'..

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
juzi nilikuwa maeneo fulani na hapakuwa na vocha na nilikuwa na mpango wa kuingia kuperuziperuzi kwenye mtandao..bahati mbaya sikuwa na salio kwenye akaunti yangu...ikanibidi niingalie kama kuna kipengele cha kukopa ili nijiunge na MBs kadhaaza kujimwaga mtandaoni...cha ajabu hawa jamaa wakanikopesha ila kwa limit ati nitazitumia kupiga simu na sms tu.
Cha ajabu zaidi hilo salio halikuongezeka kwenye salio la kawaida... nikashangaa na kuboreka!!!
Katika hili Tigo siwapi marks hata kidogo....was bored!!!!! badilikeni!!!
 
Mkuu na mimi yalinikuta, kiukweli tigo mnakera sana, mnatoa mkopo afu mnampa mteja masharti ya kutumia
 
Back
Top Bottom