Mwana wa Zaituni
Member
- Feb 19, 2013
- 84
- 44
Line yangu kwny hii simu napata data tu ingawa kwa shida....haisomi line yyte.Tigo inawahusu kwa sbb hizi simu waliuza wao kwa promotion wkt wanaitroduce 4g network so nadhani tigo wanatakiwa kucheck na Samsung not me
Yani hata line nyengine ya tigo haikubali? Kama ni mimi ningewarudishia simu na kudai hela yangu,
Au waripoti TCRA,
Kwenye Lisiti itakua ina
Vigezo na masharti kuzingatiwa!
Mali ikishanunuliwa hairudishwi!