pole mama watoto
Mimi toka saa sita nimeganda tu Guest mtoto hupatikan hewani. Chumba nimeshalipia na mtoto mwenyewe nimemfukuzia mwaka wa tano huu, Jana ndio kanikubalia leo nikapige shoo kutwa nzima kwa kua kesho atasafiri kwenda nje kusoma.
Nilifikiria hata Nipige substitute kwa michepuko yangu mengine ili hela ya chumba isiende bure lakini wote bahati mbaya wako Tigo nao na muhudumu kagoma kurudisha hela. Leo kweli NIMEWEZWA
Dah roho yangu imetulia nilijua ni Mimi tuu.nikadhan tcra wananiwinda
Toka asubuhi huku nilipo simu haziingii wala haziendi,sms pia, tgo pesa ndio kabisaa!.. Mbaya zaidi siku ya leo nilikuwa na mihadi na mtu kila nikimpigia Sim inakata, nimebadilisha line ni hivyo hivyo mpaka muda huu ninavyoandika hapa......
Cha ajabu hakuna notification yeyote mliyotupatia wateja wenu ili kuonyesha mnajari na mmegundua uwepo wa tatizo na mnaendelea kurekebisha,
Yaaani nyie mnaona ni kawaida tu hali kama hii,
Ila fresh tu najua nitakachowafanya mda si mrefu. .
Wasamehe bule mkuu,kwa wasiofahamu,ni kuwa baada ya makampuni ya TIGO na VODACOM,kuuza(kubinafsisha vitengo vya power) minara yao kwa kampuni ya HELLIOS TOWERS,utendaji na ubora wa huduma umepungua sana,
HELLIOS TOWERS,inasimamia vitengo vyote vinavyohusu nishati ya umeme kwenye minara ya TIGO na VODA,kama mafuta(diesel),vipuri,majenereta,usalama wa mitambo,
Sasa tatizo kubwa sasa hv ni upatikanaji wa diesel,kutokana na umeme wa Tanesco kuwa na matatizo,herrios anaomba mafuta kutoka VODA na TIGO,harafu yeye anayagawa kwa makampuni mengine yanayo simamia minara,kwaiyo mafuta yakitoka kidogo,yeye mwenyewe HELLIOS,ili apate faida ya kuendesha shughuri zake,atanunua mafuta kidogo,kwaiyo hata minara itapata mafuta kidogo,na kama umeme wa GRID,haupo,mitambo itazima,na ndio maana network inapotea,
kwa ufupi ni usimamizi mbovu wa huyu dalali HELLIOS TOWERS,NI bora kipindi kile,makampuni yalikuwa yana deal na TIGO au VODA mojakwa moja,AIRTEL alishitukia usanii huu,akagoma kuuza minara yake,
Mbeya,mbozi mpaka Tunduma,leo hakuna mtandao wa tigo,kuanzia saa 12jioni,kwa sababu mnara mkubwa wa TIGO tunduma,umezima,mafuta yameisha,
Mnaizungumzia Tigo ipi?Toka asubuhi huku nilipo simu haziingii wala haziendi,sms pia, tgo pesa ndio kabisaa!.. Mbaya zaidi siku ya leo nilikuwa na mihadi na mtu kila nikimpigia Sim inakata, nimebadilisha line ni hivyo hivyo mpaka muda huu ninavyoandika hapa......
Cha ajabu hakuna notification yeyote mliyotupatia wateja wenu ili kuonyesha mnajari na mmegundua uwepo wa tatizo na mnaendelea kurekebisha,
Yaaani nyie mnaona ni kawaida tu hali kama hii,
Ila fresh tu najua nitakachowafanya mda si mrefu. .
Mnaizungumzia Tigo ipi?
Dah roho yangu imetulia nilijua ni Mimi tuu.nikadhan tcra wananiwinda
Ha ha ha,Hawa jamaa wametuharibia sana weekend hii. mi nilishatengeneza mazingira hom ili nikapige nje cup. mwisho wa siku nimejikuta nalala ugenini bila faida yoyote