Tigo leo mmeniharibia sana


Hahaha haha
 
Bukoba pia ivyo ivyo afu cha ajabu kuanzia sa1 usiku huu internet inafanya kaz vzur lkn sms na simu hazitok wala kuingia
 
Isije kua ina uhusiano na agizo la Mh Rais la kuhakikisha makampuni makubwa yanalipa kodi!
 
Tigo wameninyima hela mm nilibet mkeka wangi ile nataka kuulipia kupitia tigo pesa ndo waondoa mtandao
 

Wasamehe bule mkuu,kwa wasiofahamu,ni kuwa baada ya makampuni ya TIGO na VODACOM,kuuza(kubinafsisha vitengo vya power) minara yao kwa kampuni ya HELLIOS TOWERS,utendaji na ubora wa huduma umepungua sana,

HELLIOS TOWERS,inasimamia vitengo vyote vinavyohusu nishati ya umeme kwenye minara ya TIGO na VODA,kama mafuta(diesel),vipuri,majenereta,usalama wa mitambo,

Sasa tatizo kubwa sasa hv ni upatikanaji wa diesel,kutokana na umeme wa Tanesco kuwa na matatizo,herrios anaomba mafuta kutoka VODA na TIGO,harafu yeye anayagawa kwa makampuni mengine yanayo simamia minara,kwaiyo mafuta yakitoka kidogo,yeye mwenyewe HELLIOS,ili apate faida ya kuendesha shughuri zake,atanunua mafuta kidogo,kwaiyo hata minara itapata mafuta kidogo,na kama umeme wa GRID,haupo,mitambo itazima,na ndio maana network inapotea,

kwa ufupi ni usimamizi mbovu wa huyu dalali HELLIOS TOWERS,NI bora kipindi kile,makampuni yalikuwa yana deal na TIGO au VODA mojakwa moja,AIRTEL alishitukia usanii huu,akagoma kuuza minara yake,
Mbeya,mbozi mpaka Tunduma,leo hakuna mtandao wa tigo,kuanzia saa 12jioni,kwa sababu mnara mkubwa wa TIGO tunduma,umezima,mafuta yameisha,
 

Usijali utapewa dk 5 mb 8 na SMS za bure kesho za kupooza maumivu 😛
 
Wewe kiboko

Paleeeee mlimani.city wanayo.habari.ya kwa ujinga kama huu ukiongeza hasira za kuibiwa kura za urais na kumteua jamaa yao badala ya kuheshi mawazo ya wananch??????
 

Hahahahaha
 
Yani tigo kesho cjui waseme nn nitawaelewa labda wanipe Customer Care wao nijipoze" wamenifanya nikose game kizembe hiv hv
 
Leo ndo mtaona umuhimu wa ma-Engineer!watu huwa wanadhani mambo yanajiendesha yenyewe kumbe kuna watu hawalali.
 
Hatimaye wamerudi hewani, ila nipo sehemu fulani, ngoja niidisable line ya tigo ili kisingizio kiendelee
 

Hawa jamaa wametuharibia sana weekend hii. mi nilishatengeneza mazingira hom ili nikapige nje cup. mwisho wa siku nimejikuta nalala ugenini bila faida yoyote
 
Zanzibar pia.. No tigo.. Kama una salio tigo pesa na umedownload kwa google play Internet use hamisha pesa yako kwa bank. Inakubali. Nimezikwangua aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…