Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,210
- 20,954
Toka asubuhi huku nilipo simu haziingii wala haziendi,sms pia, tgo pesa ndio kabisaa!.. Mbaya zaidi siku ya leo nilikuwa na mihadi na mtu kila nikimpigia Sim inakata, nimebadilisha line ni hivyo hivyo mpaka muda huu ninavyoandika hapa......
Cha ajabu hakuna notification yeyote mliyotupatia wateja wenu ili kuonyesha mnajari na mmegundua uwepo wa tatizo na mnaendelea kurekebisha,
Yaaani nyie mnaona ni kawaida tu hali kama hii,
Ila fresh tu najua nitakachowafanya mda si mrefu. .