Mazingira nayo ni issue. Kama ni vijijini hakuna 3g wala 4gMkuu kama simu yako ina 4G. nenda kabadili laini iwe ya 4G utakuja kunishkuru. mkuu saiv nachana mawimbi na holotel kama voda tu tena na cheza na online game bila tatizo.
mkuu fafanua vizuri hii huduma ya mnp.....Mnp ni kitu kinawaumiza kichwa sana watu wa mitandao, maana mteja anahama na namba yote bila kupoteza kitu, bahati mbaya watu wengi hawajui hii huduma ndio wanaishia kulalamika tu mara tigo hivi , au voda vile
Okay nimetoka kusoma google ila hawajasema idadi ya namba unazoweza kupoti,Mkuu namba ni mali yako , unahama nayo yote hupotezi kitu , na hamna mtu atakukosa hata huhitaji kuwaambia kuwa upo mtandao upi
Isipokuwa tu huduma za kifedha ndio itabidi uwaambi mtandao uliohamia ili pesa iende huko ,
Mobile number portability (mnp) ni huduma ya kuhama na namba yako yote kwenda mtandao unaoupenda .mkuu fafanua vizuri hii huduma ya mnp.....
mfano, namba yangu 0625887766 ambayo hiyo 0625 ni code ya halotel, sasa nikihamia voda au airtel inaendeleaje kuwa namba yangu wakati huko code zipo tofauti?
msaada tafadhali (eleza kama vile unamfundisha kihiyo')
Kuwa huduma ya mnp hunatena haja ya kumiliki laini nyingi , za nini tena ?, Chagua namba yako moia popular then unahama nayo unapoona kuna unafuuOkay nimetoka kusoma google ila hawajasema idadi ya namba unazoweza kupoti,
Maana nna namba Mbili za tiGO
Mbili za Halotel
Moja ya Vodacom
Moja ya TTCL
Moja ya Airtel
Ooh! Kwa hiyo naweza kusepa na namba yangu ya tiGO nikaipoti Halotel kisha mtu akinipigia kwenye 0714 ananipata kwenye halotel ila kwenye huduma za kifedha ndo nitatumia Halopesa sio tigo pesa,Kuwa huduma ya mnp hunatena haja ya kumiliki laini nyingi , za nini tena ?, Chagua namba yako moia popular then unahama nayo unapoona kuna unafuu
Kwa Tanzania porting inaruhusiwa kila baada ya siku 90, kwa hiyo kama ulihama toka halotel kwenda voda leo , hutaweza kuhama kwenda mtandao mwingine hadi zipite siku 90.
Mind you namba yote ni mali ya mteja siku hizi
Hewaaaaa !!!Ooh! Kwa hiyo naweza kusepa na namba yangu ya tiGO nikaipoti Halotel kisha mtu akinipigia kwenye 0714 ananipata kwenye halotel ila kwenye huduma za kifedha ndo nitatumia Halopesa sio tigo pesa,
Kifupi nakua natumia huduma za Halotel kwenye namba yangu ya tiGO sieti eeh?
Wameshakaa ndio maana gharama zinapanda KILA kukicha.yaani utawala wa huu mzee utatuua.tulizoea gharama kupanda KILA July mosi ila siku hizi wakijisikia kuchukua chao wanachukua na kuwaachia msala wabongoSerikali na makampuni ya simu wakae meza moja waone namna ya kuwasaidia makampuni haya changamoto zinazowafanya wapandishe kila mara gharama za data, ikiweza itoe ruzuku au ipunguze kodi
Shida ya hii ni wale wanaokupigia... Atadhan anapiga kweny Voda Kumbe ni airtelHewaaaaa !!!
Umenipata uzuri haswa!!! , na hao halotel wakikuzingua ikipita 90 days , 0714xxxxxx yako unaenda ku port airtel , unahama halopesa to airtel money respectively. Wateja wako wala hawatahisi kitu, sms simu kama kawa
Kiufupi hakuna phrase ," namba ya tigo" au 'voda 'etc .namba siku hizi ni mali yako mteja unaamua uende nayo wapi
Yah ni kweli, ila we utakuwa umehamia unakokupenda na yeye kama ni mteja hatokukosa akiwa na shida nawe.Shida ya hii ni wale wanaokupigia... Atadhan anapiga kweny Voda Kumbe ni airtel
Njoo nikuunge tgo GB 72 mwaka mzima kwa pesa kidgo tu na pia wale wanaotaka kubadili lain zao za Vodacom kuwa za chuo karibu pia ....zote malipo ni baada ya kaziKampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
Kudadadeki kesho nawaona Halotel chapu nipoti hii namba ya tiGOHewaaaaa !!!
Umenipata uzuri haswa!!! , na hao halotel wakikuzingua ikipita 90 days , 0714xxxxxx yako unaenda ku port airtel , unahama halopesa to airtel money respectively. Wateja wako wala hawatahisi kitu, sms simu kama kawa
Kiufupi hakuna phrase ," namba ya tigo" au 'voda 'etc .namba siku hizi ni mali yako mteja unaamua uende nayo wapi
ππππ pole sanaKampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
Kifurushi gani hiki nina lain yao sijawah kuiona hiiHamia zantel..
GB 1.5,sms500 na dakika 160 mitandao yote kwa 1500 wiki nzima