Hakuna uwezekano wa ilo tangazo kuwepo hapa kwa ambao tupo mbal na izo
Naomba kujua jina la yule mwanamke aisee nataka nikamchukulie mkopo bank.
Thanks sana mkuuKidoa Salum. Yupo instagram. Ana shepu kama lote!
Wamrudishe Joti....
[emoji16][emoji16][emoji16]eh kweli makubwaaa.nguvu ya buku 10
Weka link tulidownload "Huu Mzigo sio wa Buku 10".Mkuu, umenikumbusha, ngoja nilidownload.
Cheki post #23Weka link tulidownload "Huu Mzigo sio wa Buku 10".