kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Sijawahi kuboreka na matangazo ya kampuni hii tangu ikiwa mobitel,buzz,hadi leo Tigo.
Kama hamtajali kuna watu wanapenda matangazo yenu sana hata ya enzi zile za buzz,myatengenezee clip tujikumbushe maana ni burudani tosha.
Hili la sasa,huyu mwanamke natamani niuze meli yangu nimtafute.Ndo hivyo mamaa!