Tigo kuna shida gani?!

Kuna marekebisho wanafanya kwenye systems zao,walitangaza juzi,ilikuwa ni kwa usiku wa jana mpaka asubuhi ya jana huduma walisema zingerudia kawaida,sasa nadhani mpaka muda huu mambo hayajakaa sawa,si unajua mambo ya system upgrades yanavyozingua wakati mwingine,ila nadhani mambo yatakuwa sawa karibuni,ingawa usumbufu kwa wateja ni mkubwa sana...
 
Jana na juzi nilipata msg ila walituma kusema huduma zimerudi
 
Nasema kwa Mara ya Pili Nina wasi wasi Sana na vinavyo endelea kwenye hii mitandao ya Simu
Mwaka Jana mwishoni Mwenyekiti Wa bodi ya Wakurugenzi Vodacom Ali mafuruki alijiuzulu Wakaja Member wa board wawili Wazungu wakajiuzulu pia

Sasa Hivi Naona tuna Minywa na Vifurushi sio Voda wala Tigo, Mara Tigo Pesa kuna kimdudu gani huko kinatafuna ??
 
Tunaminywaje mkuu?
 
Wanapaswa kuwa na business continuity plan inayoeleweka sio ya kujaribu jaribu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…