wakati airtel ni mb 400 kwa Tsh 2500elfu kumi kwa mb 500 wizi mtupu!
haaaaaaaaaa..... ambili badilisha jina uwe amoja eti wakikuita kwa kienglish unaitwa atwo then atu?
nway wewe c mzee wa nternet cafe? huwezi jua thaman za mb. leave me alone
whaaat? ngoja nicheck mtandao wao ka kweliairtel 400 mb ndani ya mwezi mzima 24hrs kwa Tshs. 2500