Tigo Jazwa Ujazwe

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,370
29,966
Jazwa ujazwe na Tigo shimeee tuitumieeeee

Hivi Marketing and Promotion team ya Tigo mmekosa maneno mpka muanzishe hyo kauli mbiu?
Ki ukwel mmetupa sana ukakasi wateja wenu maana hakuna utakachofanya sa hvi usipewe maneno ya Kejeli

Unamtuma mtoto dukan akanunue vocha anakujibu Baba na wewe unataka ujazwe kwel jaman
Embu fikirien neno jengne hili la sa hvi kwa kwel linatupa sana shida

Nina line ya mtandao mwengine sjui nao watakuja na msemo gan ila huu wa Jaza Ujazwe kwa kwel hapana
 
Mhhhhhhh tangu neno hilo litumike nilitumiwa sms sikuimaliza kuisoma line yangu ya tigo niliitoa kwenye simu, nikaweka line nyingine.... mpaka sasa sijui hiyo line iko wapi. ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom