now tanzania tuna transform toka ujamaa kwenda ubeberu(capitalist) still watu munalalamika unafkiri nani anakusaidia. Nyie wenyewe ndo munawafanya watoe huduma mbovu kwasababu bado munawanunuza
Ingekua ni ulaya sio serikali ingeipigia kelele tigo bali wateja wangehama within week kampuni ingekosa wateja wa kutosha na ingeimarisha huduma.
Nawashauri mnaopost kulalamikia mitandao humu haitawasaidi kama eneo lako tigo mbovu hamia voda,zantel au airtel mkifanya hivyo wengi tigo wataona kabisa eneo flan hatuna wateja wenyewe automatic watajirekebisha. Lakini kama unaendelea kuwaungisha huku unalalamika haitosaidia watamake profit huku wewe unalalamika tu.
This is capitalist world bro