Du huyo jamaa kadanganya na hiyo Screen shot ya Vodacom kwani Mada inazungumzia Tigo internet Megabox na mm nikiweka hapa ya airtel kwa Modem ya zamani ya Zain tena 400mb kwa tshs 2,500/= tutafungiwa wengi
Mm nashauri ahamie Airtel tena atafute modem ya zamani halafu aichakachue ataingia Voda na hao tigo afurahi