Tigo internet kwa kutumia modem

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,083
5,066
Nina modem ya Tigo na nipo Handeni.Strength ni strong lakini upload na download ni Zero.
Hapa hakuna internet cafe,naombeni msaada waungwana.
 
Nina modem ya Tigo na nipo Handeni.Strength ni strong lakini upload na download ni Zero.
Hapa hakuna internet cafe,naombeni msaada waungwana.

Kijana kutoa tanga mjini mkoa wetu wa tanga tigo 3g hamna. Hapo unaona full lakini ni edge.

Korogwe wao wana 3g ya airtel sjajua kama handeni ipo nakushauri test airtel la sivyo utakesha
 
Kijana kutoa tanga mjini mkoa wetu wa tanga tigo 3g hamna. Hapo unaona full lakini ni edge.

Korogwe wao wana 3g ya airtel sjajua kama handeni ipo nakushauri test airtel la sivyo utakesha
asante sana.Nimejaribu airtel nayo ni EDGE lakini angalau niliweza ku attach doc.
Nimekwenda TTCL nao hawan broadband ila ukitaka wanakuletea fibre optic lakini ndo gharama za mitaro na rate zake si za individual ila institutions,ni ghali kwa mtu mmoja mmoja.
Member wa JF toka TTCL na TIGO tusaidieni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom