Nipo Handeni na kwa bahati kuna 3g internet ya tigo,nawapa hongera kwa hili.
Kuanzia wiki iliyopita tunapata tatizo kwani ukiweka modem unaonaon full WMCDA lakini uki konect laptop inaondoka WMCDA na inakuja HSPA.
Tunaomba msaada kwa hili ikiwa kuna wana JF wenye mawasiliano na watu wa tigo.