Tigo hamlioni hili?

Tigo hamlioni hili?

kambi7

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
773
Reaction score
589
habari za sa izi wakuu, direct kwenye mada nisiwachoshe jamaani hizi vocha za tigo haswa za miatano(jero) ukikwangua kidogo tu zinafuta baadhi ya number .tubaadilishieni bana msitufanyie makusudi ni hayo tu wakuu
 
Niliwapigia kulalamikia tatizo, wakaniambia niende Tigo shop kubadilisha,tatizo vocha500 nauli 800! Watafute njia nyingine ya kutatua tatizo
 
Ninamda mlefu sijatumia vocha hiyo ya mia 500 ila poleni kama ndivyo zilivyo Tigo wasikilizeni wateja.
 
Hilo tatizo linaweza tatuliwa.TiGo iko bomba sana internet yake ina kasi balaaaaa.Hongereni sana TiGo
 
Niliwapigia kulalamikia tatizo, wakaniambia niende Tigo shop kubadilisha,tatizo vocha500 nauli 800! Watafute njia nyingine ya kutatua tatizo

watakua wanatufanyia makusudi hawa jamaa
 
nilidhani ni mimi pekee kua bingwa wa kukwangua sana vocha,kumbe ni tatizo!
 
Back
Top Bottom