Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 216
Banchikicha,banchikicha-chikicha-chikichaNaona nyote mnaweka vipicha vile ambavyo network puruchuka inapanda 1Mb/s afu inashuka 500kb/s
View attachment 99126
Hizi speed niza mara moja afu ghafula zinashuka mpaka hata 300Kb/s
Kwa yule mbabe wa speed arekodi file la video dogo tu kwa dakika mbili afu atu uploadie hapa na hiyo ndo speed tutakayoiamini sababu hizi za IMb/s sio kila siku utaipata hata ktk range ya 800-1MB/S consantly through the download of a file
c.c Paje Mr Kicheko
Mm voda napo kaa nimenunua waya tatu niweke juu ya bati ili nipate Waves vinginevyo ndani ya geto hamna lolote
Bado sana kwa Voda
banchikicha,banchikicha-chikicha-chikicha
tulikwenda tulikwenda kwenda-kwenda,
kwa..........malizia mwenyewe njunwa wamavoko then uweke nawe video yako maana hatujaiona bado
nimemiss haya makitu dah
mkuu tatizo sio speed tatizo hawana bundle ya unlimited inayokuryhusu utumie kwa hio speed hadi uwachakachue
mkuu ni laki 3 auVoda na zantel kwangu mi naona ngoma dro zote zinakimbiza balaa tigo sio kila siku voda unlimited 40000 zantel 300000 voda wanabana speed baada ya 3gb zantel full speed hamna cha gb
mkuu ni laki 3 au
Dah wakuu wote na speed zenu respect sanahh me hizo speed nadhan ntaishia kuona kwa screenshot zenu tu hapa kwangu majangaa ata sitaki ongelea,, ila hapo kuna uchakachuzi au ni bundle za kawaida tu,?
speed zote ulizoziona hapo nisijue ya mleta mada ni uchakachuzi...
e.g Kwa hali ya kawaida mtu hauwezi download file la 13GB kama unayo internet ya kuunga unga na ya kupima kwa kibaba
Angalia hiyo video juu mtu akidownload 13GB
Mbona mi Vodacom huwa inafika 7.7Mbps
Sio modem natumia wifi hotspot ya simu yangu
Voda ndo baba lao wengine wanaiga tu...
Ila Kabang ni majanga tu
sasa hiyo 7.7Mbps huwa unaiona wapi kwenye simu?
au ulimaanisha ukiwa unadoownload kitu transfer rate ni 7.7MBps speed ambayo hata Smile hawifikishi
Ni 7.7Mbps not 7.7MBps mkuuu, huwa naiona kwenye pc kwenye Ubuntu kuna software inaitwa TPTest
sure,tigo mpaka saa 6 hii ndo unapata mawasiliano