DEVUQUARTER-DEVUKOTA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 352
- 117
unlimited guru internet ameshafika na kupitiliza hapo.....
View attachment 98146
Hiyo ya dashboard co kitu kwa tigo inaweza soma 4mbps halaf real dowload unakuta inacheza 300-400 wakati voda ikisoma hata 2mbps speed inacheza 700-800
Kabisa voda wazuri sana kwa downloads speed ila kwenye upload ni magumashi tupu so naweza sema tigo ndiyo wazuri zaidi maana wapo balanced speed ya upload na download the samedah mpaka sasa VodaCom Tanzania wanashika namba moja, Airtel wanakamata mkiaaaaaaaaaaa
Kwani hiyo Pd Proxy ni standalone?Na mimi nitaleta screenshot ya pd proxy!!!
Kwani hiyo Pd Proxy ni standalone?
Endelea kulala Krapka Davinoooo!!!!!
Naona nyote mnaweka vipicha vile ambavyo network puruchuka inapanda 1Mb/s afu inashuka 500kb/s
View attachment 99126
Hizi speed niza mara moja afu ghafula zinashuka mpaka hata 300Kb/s
Kwa yule mbabe wa speed arekodi file la video dogo tu kwa dakika mbili afu atu uploadie hapa na hiyo ndo speed tutakayoiamini sababu hizi za IMb/s sio kila siku utaipata hata ktk range ya 800-1MB/S consantly through the download of a file
c.c Paje Mr Kicheko
Mm voda napo kaa nimenunua waya tatu niweke juu ya bati ili nipate Waves vinginevyo ndani ya geto hamna lolote
nimeshakuwambia..... ukiwa wewe huwezi kuendesha gari sema....... usilaumu gari
umetaka screenshot umepewa umekimbia...... hujarudi tena kuweka yako.
leo unataka video, nakuwekea hapo faster....... na wewe weka video yako bro
[video=youtube_share;aDUyjg6Hj1s]http://youtu.be/aDUyjg6Hj1s[/video]
my belove DEVUQUARTER-DEVUKOTA , tumealikwa huku tuweke video ya guru.....
mie ndio nimeweka hapo sijui wewe....
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...tunnel-kwa-kila-member-wa-jamii-forums-9.html
ona speed ya airtel leo mkuuKuna wakati tiGO wananifurahishaaaa, hebu ona leo hapo kwenye kaduara kekundu hadi raha jamani mweh!
View attachment 97721
Mkuu mm na Appreciate the speed from the video of 0.39 secs.
DEVUQUARTER-DEVUKOTA kazi kwako sasa kafiche ma****ri upate hiyo speed ambayo ni ya ukweli sio siri
Mkuu Paje nakuandallia na mm kwa kutumia hilo hilo file lako la Premium ya zbigz
Lkn sio leo sababu huku geto ni full matatizo ni HSPA mwanzo mwisho lkn ni majanga ....mpaka nipande K/Koo
REGARDS
Tayari nimepandisha kitu cha 1080p Mkuu sasa tumsubiri Mtoa mwaliko apandishe yake!!!nimeshakuwambia..... ukiwa wewe huwezi kuendesha gari sema....... usilaumu gari
umetaka screenshot umepewa umekimbia...... hujarudi tena kuweka yako.
leo unataka video, nakuwekea hapo faster....... na wewe weka video yako bro
[video=youtube_share;aDUyjg6Hj1s]http://youtu.be/aDUyjg6Hj1s[/video]
my belove DEVUQUARTER-DEVUKOTA , tumealikwa huku tuweke video ya guru.....
mie ndio nimeweka hapo sijui wewe....
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...tunnel-kwa-kila-member-wa-jamii-forums-9.html
Tayari nimekupandishia 1080p so huitaji kuvaa miwani kamanda.Naona nyote mnaweka vipicha vile ambavyo network puruchuka inapanda 1Mb/s afu inashuka 500kb/s