mkuu vifurushi vyote vya megaboksi ni unlimited bandwitch lakini havina relation na unlimited speed.
mfano bundle ya siku ya 700 unatumia mb100 kwa highspeed kama unavyoona screen shot halafu speed inadrop huku unaendelea kutumia hadi muda uishe.
same kwenye bundle ya 25000 unapewa mb kadhaa zikiisha speed inashuka hadi muda wako utapoisha